Native Bible

Psalms 22:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Miisho yote ya dunia itakumbuka na kumgeukia Bwana, nazo jamaa zote za mataifa watasujudu mbele zake,

Psalms 22:27 in English

Psalms 22:27 · Berean Standard Bible

All the ends of the earth will remember and turn to the LORD. All the families of the nations will bow down before Him.

Context

25Kwako wewe hutoka kiini cha sifa zangu katika kusanyiko kubwa, nitatimiza nadhiri zangu mbele ya wale wakuchao wewe. 26Maskini watakula na kushiba, wale wamtafutao Bwana watamsifu: mioyo yenu na iishi milele! 27Miisho yote ya dunia itakumbuka na kumgeukia Bwana, nazo jamaa zote za mataifa watasujudu mbele zake, 28kwa maana ufalme ni wa Bwana naye hutawala juu ya mataifa. 29Matajiri wote wa dunia watasherehekea na kuabudu. Wote waendao mavumbini watapiga magoti mbele yake, wote ambao hawawezi kudumisha uhai wao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.