Native Bible

Psalms 22:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Matajiri wote wa dunia watasherehekea na kuabudu. Wote waendao mavumbini watapiga magoti mbele yake, wote ambao hawawezi kudumisha uhai wao.

Psalms 22:29 in English

Psalms 22:29 · Berean Standard Bible

All the rich of the earth will feast and worship; all who go down to the dust will kneel before Him— even those unable to preserve their lives.

Context

27Miisho yote ya dunia itakumbuka na kumgeukia Bwana, nazo jamaa zote za mataifa watasujudu mbele zake, 28kwa maana ufalme ni wa Bwana naye hutawala juu ya mataifa. 29Matajiri wote wa dunia watasherehekea na kuabudu. Wote waendao mavumbini watapiga magoti mbele yake, wote ambao hawawezi kudumisha uhai wao. 30Wazao wa baadaye watamtumikia yeye; vizazi vijavyo vitajulishwa habari za Bwana. 31Watatangaza haki yake kwa watu ambao hawajazaliwa bado, kwa maana yeye ametenda hili.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.