Zaburi 22:31
Psalms 22:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watatangaza haki yake kwa watu ambao hawajazaliwa bado, kwa maana yeye ametenda hili.
Psalms 22:31 in English
Psalms 22:31 · Berean Standard Bible
They will come and proclaim His righteousness to a people yet unborn— all that He has done.
Context
29Matajiri wote wa dunia watasherehekea na kuabudu.
Wote waendao mavumbini
watapiga magoti mbele yake,
wote ambao hawawezi
kudumisha uhai wao. 30Wazao wa baadaye watamtumikia yeye;
vizazi vijavyo vitajulishwa habari za Bwana. 31Watatangaza haki yake kwa watu
ambao hawajazaliwa bado,
kwa maana yeye ametenda hili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.