Native Bible

Psalms 22:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wazao wa baadaye watamtumikia yeye; vizazi vijavyo vitajulishwa habari za Bwana.

Psalms 22:30 in English

Psalms 22:30 · Berean Standard Bible

Posterity will serve Him; they will declare the Lord to a new generation.

Context

28kwa maana ufalme ni wa Bwana naye hutawala juu ya mataifa. 29Matajiri wote wa dunia watasherehekea na kuabudu. Wote waendao mavumbini watapiga magoti mbele yake, wote ambao hawawezi kudumisha uhai wao. 30Wazao wa baadaye watamtumikia yeye; vizazi vijavyo vitajulishwa habari za Bwana. 31Watatangaza haki yake kwa watu ambao hawajazaliwa bado, kwa maana yeye ametenda hili.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.