Native Bible

Psalms 22:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Maskini watakula na kushiba, wale wamtafutao Bwana watamsifu: mioyo yenu na iishi milele!

Psalms 22:26 in English

Psalms 22:26 · Berean Standard Bible

The poor will eat and be satisfied; those who seek the LORD will praise Him. May your hearts live forever!

Context

24Kwa maana hakupuuza wala kudharau mateso ya aliyeonewa; hakumficha uso wake bali alisikiliza kilio chake ili amsaidie. 25Kwako wewe hutoka kiini cha sifa zangu katika kusanyiko kubwa, nitatimiza nadhiri zangu mbele ya wale wakuchao wewe. 26Maskini watakula na kushiba, wale wamtafutao Bwana watamsifu: mioyo yenu na iishi milele! 27Miisho yote ya dunia itakumbuka na kumgeukia Bwana, nazo jamaa zote za mataifa watasujudu mbele zake, 28kwa maana ufalme ni wa Bwana naye hutawala juu ya mataifa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.