Native Bible

Psalms 20:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Na azikumbuke dhabihu zako zote, na azikubali sadaka zako za kuteketezwa.

Psalms 20:3 in English

Psalms 20:3 · Berean Standard Bible

May He remember all your gifts and look favorably on your burnt offerings. Selah

Context

1Bwana na akujibu unapokuwa katika dhiki, jina la Mungu wa Yakobo na liwe kinga yako. 2Na akutumie msaada kutoka patakatifu na akupatie msaada kutoka Sayuni. 3Na azikumbuke dhabihu zako zote, na azikubali sadaka zako za kuteketezwa. 4Na akujalie haja ya moyo wako, na aifanikishe mipango yako yote. 5Tutashangilia kwa furaha utakaposhinda, tutainua bendera zetu kwa jina la Mungu wetu. Bwana na akupe haja zako zote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.