Zaburi 20:4
Psalms 20:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Na akujalie haja ya moyo wako, na aifanikishe mipango yako yote.
Psalms 20:4 in English
Psalms 20:4 · Berean Standard Bible
May He give you the desires of your heart and make all your plans succeed.
Context
2Na akutumie msaada kutoka patakatifu
na akupatie msaada kutoka Sayuni. 3Na azikumbuke dhabihu zako zote,
na azikubali sadaka zako za kuteketezwa. 4Na akujalie haja ya moyo wako,
na aifanikishe mipango yako yote. 5Tutashangilia kwa furaha utakaposhinda,
tutainua bendera zetu kwa jina la Mungu wetu.
Bwana na akupe haja zako zote. 6Sasa nafahamu kuwa Bwana
humwokoa mpakwa mafuta wake,
humjibu kutoka mbingu yake takatifu
kwa nguvu za wokovu wa mkono wake wa kuume.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.