Native Bible

Psalms 20:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tutashangilia kwa furaha utakaposhinda, tutainua bendera zetu kwa jina la Mungu wetu. Bwana na akupe haja zako zote.

Psalms 20:5 in English

Psalms 20:5 · Berean Standard Bible

May we shout for joy at your victory and raise a banner in the name of our God. May the LORD grant all your petitions.

Context

3Na azikumbuke dhabihu zako zote, na azikubali sadaka zako za kuteketezwa. 4Na akujalie haja ya moyo wako, na aifanikishe mipango yako yote. 5Tutashangilia kwa furaha utakaposhinda, tutainua bendera zetu kwa jina la Mungu wetu. Bwana na akupe haja zako zote. 6Sasa nafahamu kuwa Bwana humwokoa mpakwa mafuta wake, humjibu kutoka mbingu yake takatifu kwa nguvu za wokovu wa mkono wake wa kuume. 7Wengine wanatumaini magari ya vita, na wengine farasi, bali sisi tutalitumainia jina la Bwana, Mungu wetu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.