Native Bible

Psalms 20:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wengine wanatumaini magari ya vita, na wengine farasi, bali sisi tutalitumainia jina la Bwana, Mungu wetu.

Psalms 20:7 in English

Psalms 20:7 · Berean Standard Bible

Some trust in chariots and others in horses, but we trust in the name of the LORD our God.

Context

5Tutashangilia kwa furaha utakaposhinda, tutainua bendera zetu kwa jina la Mungu wetu. Bwana na akupe haja zako zote. 6Sasa nafahamu kuwa Bwana humwokoa mpakwa mafuta wake, humjibu kutoka mbingu yake takatifu kwa nguvu za wokovu wa mkono wake wa kuume. 7Wengine wanatumaini magari ya vita, na wengine farasi, bali sisi tutalitumainia jina la Bwana, Mungu wetu. 8Wao wameshushwa chini na kuanguka, bali sisi tunainuka na kusimama imara. 9Ee Bwana, mwokoe mfalme! Tujibu tunapokuita!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.