Native Bible

Psalms 20:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sasa nafahamu kuwa Bwana humwokoa mpakwa mafuta wake, humjibu kutoka mbingu yake takatifu kwa nguvu za wokovu wa mkono wake wa kuume.

Psalms 20:6 in English

Psalms 20:6 · Berean Standard Bible

Now I know that the LORD saves His anointed; He answers him from His holy heaven with the saving power of His right hand.

Context

4Na akujalie haja ya moyo wako, na aifanikishe mipango yako yote. 5Tutashangilia kwa furaha utakaposhinda, tutainua bendera zetu kwa jina la Mungu wetu. Bwana na akupe haja zako zote. 6Sasa nafahamu kuwa Bwana humwokoa mpakwa mafuta wake, humjibu kutoka mbingu yake takatifu kwa nguvu za wokovu wa mkono wake wa kuume. 7Wengine wanatumaini magari ya vita, na wengine farasi, bali sisi tutalitumainia jina la Bwana, Mungu wetu. 8Wao wameshushwa chini na kuanguka, bali sisi tunainuka na kusimama imara.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.