Zaburi 20:8
Psalms 20:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wao wameshushwa chini na kuanguka, bali sisi tunainuka na kusimama imara.
Psalms 20:8 in English
Psalms 20:8 · Berean Standard Bible
They collapse and fall, but we rise up and stand firm.
Context
6Sasa nafahamu kuwa Bwana
humwokoa mpakwa mafuta wake,
humjibu kutoka mbingu yake takatifu
kwa nguvu za wokovu wa mkono wake wa kuume. 7Wengine wanatumaini magari ya vita, na wengine farasi,
bali sisi tutalitumainia jina la Bwana, Mungu wetu. 8Wao wameshushwa chini na kuanguka,
bali sisi tunainuka na kusimama imara. 9Ee Bwana, mwokoe mfalme!
Tujibu tunapokuita!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.