Native Bible

Psalms 20:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Na akutumie msaada kutoka patakatifu na akupatie msaada kutoka Sayuni.

Psalms 20:2 in English

Psalms 20:2 · Berean Standard Bible

May He send you help from the sanctuary and sustain you from Zion.

Context

1Bwana na akujibu unapokuwa katika dhiki, jina la Mungu wa Yakobo na liwe kinga yako. 2Na akutumie msaada kutoka patakatifu na akupatie msaada kutoka Sayuni. 3Na azikumbuke dhabihu zako zote, na azikubali sadaka zako za kuteketezwa. 4Na akujalie haja ya moyo wako, na aifanikishe mipango yako yote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.