Native Bible

Psalms 20:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana na akujibu unapokuwa katika dhiki, jina la Mungu wa Yakobo na liwe kinga yako.

Psalms 20:1 in English

Psalms 20:1 · Berean Standard Bible

May the LORD answer you in the day of trouble; may the name of the God of Jacob protect you.

Context

1Bwana na akujibu unapokuwa katika dhiki, jina la Mungu wa Yakobo na liwe kinga yako. 2Na akutumie msaada kutoka patakatifu na akupatie msaada kutoka Sayuni. 3Na azikumbuke dhabihu zako zote, na azikubali sadaka zako za kuteketezwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.