Zaburi 18:43
Psalms 18:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Umeniokoa kutokana na mashambulizi ya watu; umenifanya kuwa kiongozi wa mataifa, watu ambao sikuwajua wananitumikia.
Psalms 18:43 in English
Psalms 18:43 · Berean Standard Bible
You have delivered me from the strife of the people; You have made me the head of nations; a people I had not known shall serve me.
Context
41Walipiga yowe, lakini hapakuwepo na yeyote wa kuwaokoa;
walimlilia Bwana, lakini hakuwajibu. 42Niliwaponda kama mavumbi yanayopeperushwa na upepo;
niliwamwaga nje kama tope barabarani. 43Umeniokoa kutokana na mashambulizi ya watu;
umenifanya kuwa kiongozi wa mataifa,
watu ambao sikuwajua wananitumikia. 44Mara wanisikiapo hunitii,
wageni hunyenyekea mbele yangu. 45Wote wanalegea,
wanatoka katika ngome zao wakitetemeka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.