Zaburi 18:41
Psalms 18:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Walipiga yowe, lakini hapakuwepo na yeyote wa kuwaokoa; walimlilia Bwana, lakini hakuwajibu.
Psalms 18:41 in English
Psalms 18:41 · Berean Standard Bible
They cried for help, but there was no one to save them— to the LORD, but He did not answer.
Context
39Ulinivika nguvu kwa ajili ya kupigana vita;
uliwafanya adui zangu wasujudu miguuni pangu. 40Uliwafanya adui zangu wageuke na kukimbia,
nami nikawaangamiza adui zangu. 41Walipiga yowe, lakini hapakuwepo na yeyote wa kuwaokoa;
walimlilia Bwana, lakini hakuwajibu. 42Niliwaponda kama mavumbi yanayopeperushwa na upepo;
niliwamwaga nje kama tope barabarani. 43Umeniokoa kutokana na mashambulizi ya watu;
umenifanya kuwa kiongozi wa mataifa,
watu ambao sikuwajua wananitumikia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.