Native Bible

Psalms 18:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Uliwafanya adui zangu wageuke na kukimbia, nami nikawaangamiza adui zangu.

Psalms 18:40 in English

Psalms 18:40 · Berean Standard Bible

You have made my enemies retreat before me; I put an end to those who hated me.

Context

38Niliwaseta hata hawakuweza kuinuka tena; walianguka chini ya miguu yangu. 39Ulinivika nguvu kwa ajili ya kupigana vita; uliwafanya adui zangu wasujudu miguuni pangu. 40Uliwafanya adui zangu wageuke na kukimbia, nami nikawaangamiza adui zangu. 41Walipiga yowe, lakini hapakuwepo na yeyote wa kuwaokoa; walimlilia Bwana, lakini hakuwajibu. 42Niliwaponda kama mavumbi yanayopeperushwa na upepo; niliwamwaga nje kama tope barabarani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.