Zaburi 18:39
Psalms 18:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ulinivika nguvu kwa ajili ya kupigana vita; uliwafanya adui zangu wasujudu miguuni pangu.
Psalms 18:39 in English
Psalms 18:39 · Berean Standard Bible
You have armed me with strength for battle; You have subdued my foes beneath me.
Context
37Niliwafuatia adui zangu na nikawapata,
sikurudi nyuma mpaka walipoangamizwa. 38Niliwaseta hata hawakuweza kuinuka tena;
walianguka chini ya miguu yangu. 39Ulinivika nguvu kwa ajili ya kupigana vita;
uliwafanya adui zangu wasujudu miguuni pangu. 40Uliwafanya adui zangu wageuke na kukimbia,
nami nikawaangamiza adui zangu. 41Walipiga yowe, lakini hapakuwepo na yeyote wa kuwaokoa;
walimlilia Bwana, lakini hakuwajibu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.