Native Bible

Psalms 18:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Niliwafuatia adui zangu na nikawapata, sikurudi nyuma mpaka walipoangamizwa.

Psalms 18:37 in English

Psalms 18:37 · Berean Standard Bible

I pursued my enemies and overtook them; I did not turn back until they were consumed.

Context

35Hunipa ngao yako ya ushindi, nao mkono wako wa kuume hunitegemeza, unajishusha chini ili kuniinua. 36Huyapanua mapito yangu, ili miguu yangu isiteleze. 37Niliwafuatia adui zangu na nikawapata, sikurudi nyuma mpaka walipoangamizwa. 38Niliwaseta hata hawakuweza kuinuka tena; walianguka chini ya miguu yangu. 39Ulinivika nguvu kwa ajili ya kupigana vita; uliwafanya adui zangu wasujudu miguuni pangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.