Zaburi 18:36
Psalms 18:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huyapanua mapito yangu, ili miguu yangu isiteleze.
Psalms 18:36 in English
Psalms 18:36 · Berean Standard Bible
You broaden the path beneath me so that my ankles do not give way.
Context
34Huifundisha mikono yangu kupigana vita;
mikono yangu inaweza kupinda upinde wa shaba. 35Hunipa ngao yako ya ushindi,
nao mkono wako wa kuume hunitegemeza,
unajishusha chini ili kuniinua. 36Huyapanua mapito yangu,
ili miguu yangu isiteleze. 37Niliwafuatia adui zangu na nikawapata,
sikurudi nyuma mpaka walipoangamizwa. 38Niliwaseta hata hawakuweza kuinuka tena;
walianguka chini ya miguu yangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.