Zaburi 18:38
Psalms 18:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Niliwaseta hata hawakuweza kuinuka tena; walianguka chini ya miguu yangu.
Psalms 18:38 in English
Psalms 18:38 · Berean Standard Bible
I crushed them so they could not rise; they have fallen under my feet.
Context
36Huyapanua mapito yangu,
ili miguu yangu isiteleze. 37Niliwafuatia adui zangu na nikawapata,
sikurudi nyuma mpaka walipoangamizwa. 38Niliwaseta hata hawakuweza kuinuka tena;
walianguka chini ya miguu yangu. 39Ulinivika nguvu kwa ajili ya kupigana vita;
uliwafanya adui zangu wasujudu miguuni pangu. 40Uliwafanya adui zangu wageuke na kukimbia,
nami nikawaangamiza adui zangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.