Zaburi 18:34
Psalms 18:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huifundisha mikono yangu kupigana vita; mikono yangu inaweza kupinda upinde wa shaba.
Psalms 18:34 in English
Psalms 18:34 · Berean Standard Bible
He trains my hands for battle; my arms can bend a bow of bronze.
Context
32Mungu ndiye anivikaye nguvu
na kufanya njia yangu kuwa kamilifu. 33Huifanya miguu yangu kama miguu ya kulungu,
huniwezesha kusimama mahali palipo juu. 34Huifundisha mikono yangu kupigana vita;
mikono yangu inaweza kupinda upinde wa shaba. 35Hunipa ngao yako ya ushindi,
nao mkono wako wa kuume hunitegemeza,
unajishusha chini ili kuniinua. 36Huyapanua mapito yangu,
ili miguu yangu isiteleze.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.