Native Bible

Psalms 18:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huifanya miguu yangu kama miguu ya kulungu, huniwezesha kusimama mahali palipo juu.

Psalms 18:33 in English

Psalms 18:33 · Berean Standard Bible

He makes my feet like those of a deer and stations me upon the heights.

Context

31Kwa maana ni nani aliye Mungu zaidi ya Bwana? Ni nani aliye Mwamba isipokuwa Mungu wetu? 32Mungu ndiye anivikaye nguvu na kufanya njia yangu kuwa kamilifu. 33Huifanya miguu yangu kama miguu ya kulungu, huniwezesha kusimama mahali palipo juu. 34Huifundisha mikono yangu kupigana vita; mikono yangu inaweza kupinda upinde wa shaba. 35Hunipa ngao yako ya ushindi, nao mkono wako wa kuume hunitegemeza, unajishusha chini ili kuniinua.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.