Native Bible

Psalms 18:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana ni nani aliye Mungu zaidi ya Bwana? Ni nani aliye Mwamba isipokuwa Mungu wetu?

Psalms 18:31 in English

Psalms 18:31 · Berean Standard Bible

For who is God besides the LORD? And who is the Rock except our God?

Context

29Kwa msaada wako naweza kushinda jeshi, nikiwa pamoja na Mungu wangu nitaweza kuruka ukuta. 30Kuhusu Mungu, njia yake ni kamilifu, neno la Bwana halina dosari. Yeye ni ngao kwa wote wanaokimbilia kwake. 31Kwa maana ni nani aliye Mungu zaidi ya Bwana? Ni nani aliye Mwamba isipokuwa Mungu wetu? 32Mungu ndiye anivikaye nguvu na kufanya njia yangu kuwa kamilifu. 33Huifanya miguu yangu kama miguu ya kulungu, huniwezesha kusimama mahali palipo juu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.