Zaburi 18:29
Psalms 18:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa msaada wako naweza kushinda jeshi, nikiwa pamoja na Mungu wangu nitaweza kuruka ukuta.
Psalms 18:29 in English
Psalms 18:29 · Berean Standard Bible
For in You I can charge an army, and with my God I can scale a wall.
Context
27Wewe huwaokoa wanyenyekevu,
lakini huwashusha wenye kiburi. 28Wewe, Ee Bwana, unaifanya taa yangu iendelee kuwaka;
Mungu wangu hulifanya giza langu kuwa mwanga. 29Kwa msaada wako naweza kushinda jeshi,
nikiwa pamoja na Mungu wangu
nitaweza kuruka ukuta. 30Kuhusu Mungu, njia yake ni kamilifu,
neno la Bwana halina dosari.
Yeye ni ngao kwa wote
wanaokimbilia kwake. 31Kwa maana ni nani aliye Mungu
zaidi ya Bwana?
Ni nani aliye Mwamba
isipokuwa Mungu wetu?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.