Native Bible

Psalms 18:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kuhusu Mungu, njia yake ni kamilifu, neno la Bwana halina dosari. Yeye ni ngao kwa wote wanaokimbilia kwake.

Psalms 18:30 in English

Psalms 18:30 · Berean Standard Bible

As for God, His way is perfect; the word of the LORD is flawless. He is a shield to all who take refuge in Him.

Context

28Wewe, Ee Bwana, unaifanya taa yangu iendelee kuwaka; Mungu wangu hulifanya giza langu kuwa mwanga. 29Kwa msaada wako naweza kushinda jeshi, nikiwa pamoja na Mungu wangu nitaweza kuruka ukuta. 30Kuhusu Mungu, njia yake ni kamilifu, neno la Bwana halina dosari. Yeye ni ngao kwa wote wanaokimbilia kwake. 31Kwa maana ni nani aliye Mungu zaidi ya Bwana? Ni nani aliye Mwamba isipokuwa Mungu wetu? 32Mungu ndiye anivikaye nguvu na kufanya njia yangu kuwa kamilifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.