Native Bible

Psalms 18:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mungu ndiye anivikaye nguvu na kufanya njia yangu kuwa kamilifu.

Psalms 18:32 in English

Psalms 18:32 · Berean Standard Bible

It is God who arms me with strength and makes my way clear.

Context

30Kuhusu Mungu, njia yake ni kamilifu, neno la Bwana halina dosari. Yeye ni ngao kwa wote wanaokimbilia kwake. 31Kwa maana ni nani aliye Mungu zaidi ya Bwana? Ni nani aliye Mwamba isipokuwa Mungu wetu? 32Mungu ndiye anivikaye nguvu na kufanya njia yangu kuwa kamilifu. 33Huifanya miguu yangu kama miguu ya kulungu, huniwezesha kusimama mahali palipo juu. 34Huifundisha mikono yangu kupigana vita; mikono yangu inaweza kupinda upinde wa shaba.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.