Zaburi 18:27
Psalms 18:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wewe huwaokoa wanyenyekevu, lakini huwashusha wenye kiburi.
Psalms 18:27 in English
Psalms 18:27 · Berean Standard Bible
For You save an afflicted people, but You humble those with haughty eyes.
Context
25Kwa yeye aliye mwaminifu, unajionyesha kuwa mwaminifu,
kwa asiye na hatia, unajionyesha kutokuwa na hatia. 26Kwa aliye mtakatifu, unajionyesha kuwa mtakatifu,
lakini kwa aliyepotoka, unajionyesha kuwa mkaidi. 27Wewe huwaokoa wanyenyekevu,
lakini huwashusha wenye kiburi. 28Wewe, Ee Bwana, unaifanya taa yangu iendelee kuwaka;
Mungu wangu hulifanya giza langu kuwa mwanga. 29Kwa msaada wako naweza kushinda jeshi,
nikiwa pamoja na Mungu wangu
nitaweza kuruka ukuta.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.