Native Bible

Psalms 18:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Niliwaponda kama mavumbi yanayopeperushwa na upepo; niliwamwaga nje kama tope barabarani.

Psalms 18:42 in English

Psalms 18:42 · Berean Standard Bible

I ground them as dust in the face of the wind; I trampled them * like mud in the streets.

Context

40Uliwafanya adui zangu wageuke na kukimbia, nami nikawaangamiza adui zangu. 41Walipiga yowe, lakini hapakuwepo na yeyote wa kuwaokoa; walimlilia Bwana, lakini hakuwajibu. 42Niliwaponda kama mavumbi yanayopeperushwa na upepo; niliwamwaga nje kama tope barabarani. 43Umeniokoa kutokana na mashambulizi ya watu; umenifanya kuwa kiongozi wa mataifa, watu ambao sikuwajua wananitumikia. 44Mara wanisikiapo hunitii, wageni hunyenyekea mbele yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.