Native Bible

Psalms 18:44 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mara wanisikiapo hunitii, wageni hunyenyekea mbele yangu.

Psalms 18:44 in English

Psalms 18:44 · Berean Standard Bible

When they hear me, they obey me; foreigners cower before me.

Context

42Niliwaponda kama mavumbi yanayopeperushwa na upepo; niliwamwaga nje kama tope barabarani. 43Umeniokoa kutokana na mashambulizi ya watu; umenifanya kuwa kiongozi wa mataifa, watu ambao sikuwajua wananitumikia. 44Mara wanisikiapo hunitii, wageni hunyenyekea mbele yangu. 45Wote wanalegea, wanatoka katika ngome zao wakitetemeka. 46Bwana yu hai! Sifa ni kwa Mwamba wangu! Atukuzwe Mungu Mwokozi wangu!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.