Native Bible

Psalms 18:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wote wanalegea, wanatoka katika ngome zao wakitetemeka.

Psalms 18:45 in English

Psalms 18:45 · Berean Standard Bible

Foreigners lose heart and come trembling from their strongholds.

Context

43Umeniokoa kutokana na mashambulizi ya watu; umenifanya kuwa kiongozi wa mataifa, watu ambao sikuwajua wananitumikia. 44Mara wanisikiapo hunitii, wageni hunyenyekea mbele yangu. 45Wote wanalegea, wanatoka katika ngome zao wakitetemeka. 46Bwana yu hai! Sifa ni kwa Mwamba wangu! Atukuzwe Mungu Mwokozi wangu! 47Yeye ndiye Mungu anilipiziaye kisasi, awatiishaye mataifa chini yangu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.