Zaburi 18:46
Psalms 18:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana yu hai! Sifa ni kwa Mwamba wangu! Atukuzwe Mungu Mwokozi wangu!
Psalms 18:46 in English
Psalms 18:46 · Berean Standard Bible
The LORD lives, and blessed be my Rock! And may the God of my salvation be exalted—
Context
44Mara wanisikiapo hunitii,
wageni hunyenyekea mbele yangu. 45Wote wanalegea,
wanatoka katika ngome zao wakitetemeka. 46Bwana yu hai! Sifa ni kwa Mwamba wangu!
Atukuzwe Mungu Mwokozi wangu! 47Yeye ndiye Mungu anilipiziaye kisasi,
awatiishaye mataifa chini yangu, 48aniokoaye na adui zangu.
Uliniinua juu ya adui zangu;
uliniokoa toka kwa watu wajeuri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.