Native Bible

Psalms 18:47 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye ndiye Mungu anilipiziaye kisasi, awatiishaye mataifa chini yangu,

Psalms 18:47 in English

Psalms 18:47 · Berean Standard Bible

the God who avenges me and subdues nations beneath me,

Context

45Wote wanalegea, wanatoka katika ngome zao wakitetemeka. 46Bwana yu hai! Sifa ni kwa Mwamba wangu! Atukuzwe Mungu Mwokozi wangu! 47Yeye ndiye Mungu anilipiziaye kisasi, awatiishaye mataifa chini yangu, 48aniokoaye na adui zangu. Uliniinua juu ya adui zangu; uliniokoa toka kwa watu wajeuri. 49Kwa hiyo nitakusifu katikati ya mataifa, Ee Bwana; nitaliimbia sifa jina lako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.