Zaburi 18:49
Psalms 18:49 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo nitakusifu katikati ya mataifa, Ee Bwana; nitaliimbia sifa jina lako.
Psalms 18:49 in English
Psalms 18:49 · Berean Standard Bible
Therefore I will praise You, O LORD, among the nations; I will sing praises to Your name.*
Context
47Yeye ndiye Mungu anilipiziaye kisasi,
awatiishaye mataifa chini yangu, 48aniokoaye na adui zangu.
Uliniinua juu ya adui zangu;
uliniokoa toka kwa watu wajeuri. 49Kwa hiyo nitakusifu katikati ya mataifa, Ee Bwana;
nitaliimbia sifa jina lako. 50Humpa mfalme wake ushindi mkuu,
huonyesha fadhili zake kwa mpakwa mafuta wake,
kwa Daudi na wazao wake milele.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.