Native Bible

Psalms 18:50 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Humpa mfalme wake ushindi mkuu, huonyesha fadhili zake kwa mpakwa mafuta wake, kwa Daudi na wazao wake milele.

Psalms 18:50 in English

Psalms 18:50 · Berean Standard Bible

Great salvation He brings to His king. He shows loving devotion to His anointed, to David and his descendants forever.

Context

48aniokoaye na adui zangu. Uliniinua juu ya adui zangu; uliniokoa toka kwa watu wajeuri. 49Kwa hiyo nitakusifu katikati ya mataifa, Ee Bwana; nitaliimbia sifa jina lako. 50Humpa mfalme wake ushindi mkuu, huonyesha fadhili zake kwa mpakwa mafuta wake, kwa Daudi na wazao wake milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.