Native Bible

Psalms 18:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana nimezishika njia za Bwana; sijatenda ubaya nikamwacha Mungu wangu.

Psalms 18:21 in English

Psalms 18:21 · Berean Standard Bible

For I have kept the ways of the LORD and have not wickedly departed from my God.

Context

19Alinileta nje mahali penye nafasi tele, akaniokoa kwa kuwa alipendezwa nami. 20Bwana alinitendea sawasawa na uadilifu wangu; sawasawa na usafi wa mikono yangu amenilipa. 21Kwa maana nimezishika njia za Bwana; sijatenda ubaya nikamwacha Mungu wangu. 22Sheria zake zote zi mbele yangu, wala sijayaacha maagizo yake. 23Nimekuwa sina hatia mbele zake, nami nimejilinda nisitende dhambi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.