Zaburi 18:22
Psalms 18:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sheria zake zote zi mbele yangu, wala sijayaacha maagizo yake.
Psalms 18:22 in English
Psalms 18:22 · Berean Standard Bible
For all His ordinances are before me; I have not disregarded His statutes.
Context
20Bwana alinitendea sawasawa na uadilifu wangu;
sawasawa na usafi wa mikono yangu amenilipa. 21Kwa maana nimezishika njia za Bwana;
sijatenda ubaya nikamwacha Mungu wangu. 22Sheria zake zote zi mbele yangu,
wala sijayaacha maagizo yake. 23Nimekuwa sina hatia mbele zake,
nami nimejilinda nisitende dhambi. 24Bwana amenilipa sawasawa na uadilifu wangu;
sawasawa na usafi wa mikono yangu machoni pake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.