Zaburi 18:23
Psalms 18:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nimekuwa sina hatia mbele zake, nami nimejilinda nisitende dhambi.
Psalms 18:23 in English
Psalms 18:23 · Berean Standard Bible
And I have been blameless before Him and kept myself from iniquity.
Context
21Kwa maana nimezishika njia za Bwana;
sijatenda ubaya nikamwacha Mungu wangu. 22Sheria zake zote zi mbele yangu,
wala sijayaacha maagizo yake. 23Nimekuwa sina hatia mbele zake,
nami nimejilinda nisitende dhambi. 24Bwana amenilipa sawasawa na uadilifu wangu;
sawasawa na usafi wa mikono yangu machoni pake. 25Kwa yeye aliye mwaminifu, unajionyesha kuwa mwaminifu,
kwa asiye na hatia, unajionyesha kutokuwa na hatia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.