Native Bible

Psalms 18:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana alinitendea sawasawa na uadilifu wangu; sawasawa na usafi wa mikono yangu amenilipa.

Psalms 18:20 in English

Psalms 18:20 · Berean Standard Bible

The LORD has rewarded me according to my righteousness; He has repaid me according to the cleanness of my hands.

Context

18Walinikabili siku ya msiba wangu, lakini Bwana alikuwa msaada wangu. 19Alinileta nje mahali penye nafasi tele, akaniokoa kwa kuwa alipendezwa nami. 20Bwana alinitendea sawasawa na uadilifu wangu; sawasawa na usafi wa mikono yangu amenilipa. 21Kwa maana nimezishika njia za Bwana; sijatenda ubaya nikamwacha Mungu wangu. 22Sheria zake zote zi mbele yangu, wala sijayaacha maagizo yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.