Zaburi 18:19
Psalms 18:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Alinileta nje mahali penye nafasi tele, akaniokoa kwa kuwa alipendezwa nami.
Psalms 18:19 in English
Psalms 18:19 · Berean Standard Bible
He brought me out into the open; He rescued me because He delighted in me.
Context
17Aliniokoa kutoka adui wangu mwenye nguvu nyingi,
kutoka adui zangu waliokuwa na nguvu nyingi kuliko mimi. 18Walinikabili siku ya msiba wangu,
lakini Bwana alikuwa msaada wangu. 19Alinileta nje mahali penye nafasi tele,
akaniokoa kwa kuwa alipendezwa nami. 20Bwana alinitendea sawasawa na uadilifu wangu;
sawasawa na usafi wa mikono yangu amenilipa. 21Kwa maana nimezishika njia za Bwana;
sijatenda ubaya nikamwacha Mungu wangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.