Native Bible

Psalms 139:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sina kitu zaidi ya chuki dhidi yao, ninawahesabu ni adui zangu.

Psalms 139:22 in English

Psalms 139:22 · Berean Standard Bible

I hate them with perfect hatred; I count them as my enemies.

Context

20Wanazungumza juu yako wakiwa na kusudi baya, adui zako wanatumia vibaya jina lako. 21Ee Bwana, je, nisiwachukie wanaokuchukia? Nisiwachukie sana wanaoinuka dhidi yako? 22Sina kitu zaidi ya chuki dhidi yao, ninawahesabu ni adui zangu. 23Ee Mungu, nichunguze, uujue moyo wangu, nijaribu na ujue mawazo yangu. 24Uone kama kuna njia iletayo machukizo ndani yangu, uniongoze katika njia ya milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.