Zaburi 139:23
Psalms 139:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Mungu, nichunguze, uujue moyo wangu, nijaribu na ujue mawazo yangu.
Psalms 139:23 in English
Psalms 139:23 · Berean Standard Bible
Search me, O God, and know my heart; test me and know my concerns.
Context
21Ee Bwana, je, nisiwachukie wanaokuchukia?
Nisiwachukie sana wanaoinuka dhidi yako? 22Sina kitu zaidi ya chuki dhidi yao,
ninawahesabu ni adui zangu. 23Ee Mungu, nichunguze, uujue moyo wangu,
nijaribu na ujue mawazo yangu. 24Uone kama kuna njia iletayo machukizo ndani yangu,
uniongoze katika njia ya milele.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.