Native Bible

Psalms 139:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Uone kama kuna njia iletayo machukizo ndani yangu, uniongoze katika njia ya milele.

Psalms 139:24 in English

Psalms 139:24 · Berean Standard Bible

See if there is any offensive way in me; lead me in the way everlasting.

Context

22Sina kitu zaidi ya chuki dhidi yao, ninawahesabu ni adui zangu. 23Ee Mungu, nichunguze, uujue moyo wangu, nijaribu na ujue mawazo yangu. 24Uone kama kuna njia iletayo machukizo ndani yangu, uniongoze katika njia ya milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.