Native Bible

Psalms 139:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, je, nisiwachukie wanaokuchukia? Nisiwachukie sana wanaoinuka dhidi yako?

Psalms 139:21 in English

Psalms 139:21 · Berean Standard Bible

Do I not hate those who hate You, O LORD, and detest those who rise against You?

Context

19Laiti ungewachinja waovu, Ee Mungu! Ondokeni kwangu, ninyi wamwaga damu! 20Wanazungumza juu yako wakiwa na kusudi baya, adui zako wanatumia vibaya jina lako. 21Ee Bwana, je, nisiwachukie wanaokuchukia? Nisiwachukie sana wanaoinuka dhidi yako? 22Sina kitu zaidi ya chuki dhidi yao, ninawahesabu ni adui zangu. 23Ee Mungu, nichunguze, uujue moyo wangu, nijaribu na ujue mawazo yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.