Zaburi 139:20
Psalms 139:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wanazungumza juu yako wakiwa na kusudi baya, adui zako wanatumia vibaya jina lako.
Psalms 139:20 in English
Psalms 139:20 · Berean Standard Bible
who speak of You deceitfully; Your enemies take Your name in vain.*
Context
18Kama ningezihesabu,
zingekuwa nyingi kuliko mchanga.
Niamkapo,
bado niko pamoja nawe. 19Laiti ungewachinja waovu, Ee Mungu!
Ondokeni kwangu, ninyi wamwaga damu! 20Wanazungumza juu yako wakiwa na kusudi baya,
adui zako wanatumia vibaya jina lako. 21Ee Bwana, je, nisiwachukie wanaokuchukia?
Nisiwachukie sana wanaoinuka dhidi yako? 22Sina kitu zaidi ya chuki dhidi yao,
ninawahesabu ni adui zangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.