Native Bible

Psalms 139:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Laiti ungewachinja waovu, Ee Mungu! Ondokeni kwangu, ninyi wamwaga damu!

Psalms 139:19 in English

Psalms 139:19 · Berean Standard Bible

O God, that You would slay the wicked— away from me, you bloodthirsty men—

Context

17Tazama jinsi yalivyo ya thamani mawazo yako kwangu, Ee Mungu! Jinsi jumla yake ilivyo kubwa! 18Kama ningezihesabu, zingekuwa nyingi kuliko mchanga. Niamkapo, bado niko pamoja nawe. 19Laiti ungewachinja waovu, Ee Mungu! Ondokeni kwangu, ninyi wamwaga damu! 20Wanazungumza juu yako wakiwa na kusudi baya, adui zako wanatumia vibaya jina lako. 21Ee Bwana, je, nisiwachukie wanaokuchukia? Nisiwachukie sana wanaoinuka dhidi yako?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.