Native Bible

Psalms 139:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama ningezihesabu, zingekuwa nyingi kuliko mchanga. Niamkapo, bado niko pamoja nawe.

Psalms 139:18 in English

Psalms 139:18 · Berean Standard Bible

If I were to count them, they would outnumber the grains of sand; and when I awake, I am still with You.

Context

16macho yako yaliniona kabla mwili wangu haujakamilika. Siku zangu zote ulizonipangia ziliandikwa katika kitabu chako kabla haijakuwepo hata moja. 17Tazama jinsi yalivyo ya thamani mawazo yako kwangu, Ee Mungu! Jinsi jumla yake ilivyo kubwa! 18Kama ningezihesabu, zingekuwa nyingi kuliko mchanga. Niamkapo, bado niko pamoja nawe. 19Laiti ungewachinja waovu, Ee Mungu! Ondokeni kwangu, ninyi wamwaga damu! 20Wanazungumza juu yako wakiwa na kusudi baya, adui zako wanatumia vibaya jina lako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.