Native Bible

Psalms 130:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Namngojea Bwana, nafsi yangu inangojea, katika neno lake naweka tumaini langu.

Psalms 130:5 in English

Psalms 130:5 · Berean Standard Bible

I wait for the LORD; my soul does wait, and in His word I put my hope.

Context

3Kama wewe, Ee Bwana, ungeweka kumbukumbu ya dhambi, Ee Bwana, ni nani angeliweza kusimama? 4Lakini kwako kuna msamaha, kwa hiyo wewe unaogopwa. 5Namngojea Bwana, nafsi yangu inangojea, katika neno lake naweka tumaini langu. 6Nafsi yangu inamngojea Bwana kuliko walinzi waingojeavyo asubuhi, naam, kuliko walinzi waingojeavyo asubuhi. 7Ee Israeli, mtumaini Bwana, maana kwa Bwana kuna upendo usiokoma, na kwake kuna ukombozi kamili.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.