Native Bible

Psalms 130:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama wewe, Ee Bwana, ungeweka kumbukumbu ya dhambi, Ee Bwana, ni nani angeliweza kusimama?

Psalms 130:3 in English

Psalms 130:3 · Berean Standard Bible

If You, O LORD, kept track of iniquities, then who, O Lord, could stand?

Context

1Kutoka vilindini ninakulilia, Ee Bwana. 2Ee Bwana, sikia sauti yangu. Masikio yako na yawe masikivu kwa kilio changu unihurumie. 3Kama wewe, Ee Bwana, ungeweka kumbukumbu ya dhambi, Ee Bwana, ni nani angeliweza kusimama? 4Lakini kwako kuna msamaha, kwa hiyo wewe unaogopwa. 5Namngojea Bwana, nafsi yangu inangojea, katika neno lake naweka tumaini langu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.