Zaburi 130:4
Psalms 130:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini kwako kuna msamaha, kwa hiyo wewe unaogopwa.
Psalms 130:4 in English
Psalms 130:4 · Berean Standard Bible
But with You there is forgiveness, so that You may be feared.
Context
2Ee Bwana, sikia sauti yangu.
Masikio yako na yawe masikivu
kwa kilio changu unihurumie. 3Kama wewe, Ee Bwana, ungeweka kumbukumbu ya dhambi,
Ee Bwana, ni nani angeliweza kusimama? 4Lakini kwako kuna msamaha,
kwa hiyo wewe unaogopwa. 5Namngojea Bwana, nafsi yangu inangojea,
katika neno lake naweka tumaini langu. 6Nafsi yangu inamngojea Bwana
kuliko walinzi waingojeavyo asubuhi,
naam, kuliko walinzi
waingojeavyo asubuhi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.