Native Bible

Psalms 130:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nafsi yangu inamngojea Bwana kuliko walinzi waingojeavyo asubuhi, naam, kuliko walinzi waingojeavyo asubuhi.

Psalms 130:6 in English

Psalms 130:6 · Berean Standard Bible

My soul waits for the Lord more than watchmen wait for the morning— more than watchmen wait for the morning.

Context

4Lakini kwako kuna msamaha, kwa hiyo wewe unaogopwa. 5Namngojea Bwana, nafsi yangu inangojea, katika neno lake naweka tumaini langu. 6Nafsi yangu inamngojea Bwana kuliko walinzi waingojeavyo asubuhi, naam, kuliko walinzi waingojeavyo asubuhi. 7Ee Israeli, mtumaini Bwana, maana kwa Bwana kuna upendo usiokoma, na kwake kuna ukombozi kamili. 8Yeye mwenyewe ataikomboa Israeli kutoka dhambi zao zote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.